Tuesday, 8 July 2014

AKUTWA AMEKUFA UFUKWENI DAR ES SALAAM.

Mtu mmoja mkazi wa Ubungo jijini Dar es salaam ambaye jina lake halikufamahika mara moja amekutwa amekufa katika eneo la ufukwe wa bahari hindi posta na kusababisha taharuki kwa wapita njia huku jeshi la polisi likitaarifa juu ya tukio hilo na kufika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka hospitali ya taifa ya Muhimbili.

CHANZO MATUKIO NA VIJANA

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!