Thursday 19 June 2014

KWA WALE WA GARDEN, AINA MBALIMBALI ZA GARDEN..PATA IDEA!


Unajua Garden pia ni ubunifu, unaweza kubuni kitu ukipendacho na kikapendezesha garden yako, si lazima upande maua kama shule unakuwa mtundu wa kubuni vitu mbalimbali, kama hii pichani badala ya kuweka makopo au vyungu vya maua, amebuni kitu kama hicho na kufanya garden yake iwe ya kipekee!!












Maua kama haya ni maarufu sana kwa chi za joto, ushauri wa bure kwa Garden kama hii, jaribu kupanda maua ya rangi nyingine pia ili kufanya garden yako iwe yenye kuvutia zaidi, kama angeweza kuweka na maua kama roses, hapo akachanganya rangi, kuwa na rangi moja tu kijani, haichangamshi garden inakuwa kama shamba,au bustani ya mboga!





Tropical home Garden....


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!