Tuesday, 6 May 2014

ZAIDI YA WATU 40 WAMEFARIKI KWA KUNYWA POMBE HARAMU YA KIENYEJI-KENYA

Takribani watu 46 kutoka Embu, Kiambu, Makueni na Kitui nchini Kenya wamefariki baada ya kutumia pombe ya kienyeji ambayo ni haramu, maarufu kama "Kathaburia"
- Wengine wamelazwa wakiwa na hali mbaya huku watu 6 wakiwa wamepoteza uwezo wa kuona!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!