WASTARA, CLOUD WAZURU MAKABURI YA WASANII WENZAO

WASANII wa Bongo Movie Unity ambao hawakuwepo katika msiba wa Adam Kuambiana wakiwa nchini Uingereza, Issa Mussa ‘Cloud’ na Wastara Juma leo wamezuru kaburi Kuambiana pamoja na makaburi ya wasanii wengine ambao tayari walishatangulia mbele ya haki akiwemo John Maganga, Steven Kanumba na Zuhura Maftah Malisa.
Wakizungumza na waandishi wetu, wasanii hao wamesema kuwa ni jambo la kumshukuru Mungu lakini watazidi kuwaombea wale wote waliotangulia kwa kuwa wote wako katika njia moja.
Wakizungumza na waandishi wetu, wasanii hao wamesema kuwa ni jambo la kumshukuru Mungu lakini watazidi kuwaombea wale wote waliotangulia kwa kuwa wote wako katika njia moja.
No comments:
Post a Comment