Thursday 29 May 2014

WAKATI MAANDALIZI YA MAZISHI YA RACHEL HAULE YAKIENDELEA, IRENE UWOYA AZIMIA WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KATIKA VIWANJA VYA LEADERS







HAPA NDIPO MAKAZI YA MILELE YA MAREHEMU RACHEL HAULE

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!


RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS
Picha na Global Publishers



Mwili wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika simanzi kubwa huku Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa kuondokewa na msanii mwenzao. Angalia picha zikionyesha matukio ya mwili wa Rachel tangu akitolewa Muhimbili, kupelekwa Sinza na Leaders..........

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!