Thursday 29 May 2014

VILIO NA MAJONZI BAADA YA MWILI WA ALIYEKUWA MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE NA MWANAE KULETWA TOKA MUHIMBILI



Mwili wa marehemu Recho aliyekuwa msanii wa bongo muvi na mwili wa mtoto wake umetolewa katika hospitali ya taifa muhimbili na kupelekwa nyumbani kwao maeneo  ya  Palestina jijini Dar, na baadaye viwanja vya leaders club kwa ajili ya kuagwa



Simanzi  na  vilio  vilitawala nyumbani kwa marehemu  wakati  mwili  huo  ukiagwa  na  ndugu wa karibu kwa dakika chache kabla  ya  kwenda viwanja vya leaders
 
 
Majeneza 2 ya Bongo Muvi Star Rachel na mtoto wake .

Marehemu Rachel wa Bongo Muvi alipokuwa hai!!

Marahemu Rachel wakati wa uhai wake akiwa na Mumewe live!!
Le Mutuz with Clouds FM Star Zamaradi Mketema & Star TV Star Sauda Mwilima 





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!