skip to main |
skip to sidebar
DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa muhadhara katika Chuo Kikuu cha Taaluma ya Sera ‘GRIPS’ wakati alipoalikwa kwenye muhadhara huo uliofanyika chuoni hapo Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014.
Baadhi ya wanachuo kutoka mataifa mbalimbali wa Chuo hicho waliohudhuria Muhadhara huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akitoa muhadhara. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Japan, waliohudhuria Muhadhara huo baada ya kumalizika kwa muhadhara huo katika Chuo Kikuu cha Taaluma ya Sera ‘GRIPS’ Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachuo Watanzania wanaosoma katika Chuo hicho cha Taaluma ya Sera ‘GRIPS’ Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014, baada ya kumalizika kwa muhadhara huo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment