Saturday 10 May 2014

AOKOTWA MAENEO YA KIMARA AKIWA AMEJERUHIWA VIBAYA NA WATU WASIOJULIKANA..

Kijana alivyokutwa eneo la Kimara-Mwisho akiwa amejeruhiwa vibaya.


Akipelekwa kwenye gari la polisi.
.Akiwa kwenye gari la polisi kupelekwa hospitali. 
KIJANA ambaye hakufahamika jina lake mara moja alikutwa ametupwa maeneo ya Kimara-Mwisho, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita huku akiwa na majeraha yakutisha.
 Haikufahamika mara moja kuwa mtu huyo alipigwa au alitupwa eneo hilo na nani. Polisi walifika eneo la tukio na kumpeleka hospitali akiwa na hali mbaya.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!