Sunday, 6 April 2014

SOMA HUYU KAKA ALIVYOSEMA KUHUSU KHANGA MOJA HASWA ZA CHINA.





Sijui kuna nini Kati ya khanga hasa za China na wanaume wa kiswahili kama Mimi,yani mi mwanamke akibaki na khanga huwa network inakata,nyaya za uvumilivu kichwani zinakatika na kusababisha ukosefu wa mawasiliano na dunia,nakua kwenye sayari nyingine kabisa,naweza kubaka(mungu apishie mbali loh).Inshallah anifanyie wepesi nimshinde nguvu shetani huyu wa ajabu kwa kweli.Kuna siku nilienda pale downtown kwa wale wadada wa khanga moko laki si pesa,nilikua na noti za buku tano tano kibao kuja kutahamaki mida mibovu nimebaki na noti moja tu hata taxi haitoshi,uzuri kwetu Livingstone st si mbali toka pale kwenye ile club yao,nikakatiza tu mnazi mmoja grounds,nikachukua lumumba,nikakunja aggrey huyo mdogo mdogo Livingston kuhesabu maumivu,kisa khanga moja lol..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!