Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini
sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee
mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za
Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni
mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni
hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment