Tuesday 22 April 2014

MSANII H-BABA ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU JAMES DANDU

H Baba akiwa amesimama pembeni ya Kaburi la James Dandu

 Bongo Flava Best Stage Perfomer H Baba kwa wakati huu yupo mapumzikoni jijini Mwanza ambako pia ni nyumbani kwao alikozaliwa, na weekend hii aliamua kuitumia kwa kutembelea familia ya moja kati ya waasisi wa Tuzo za Kili Tanzania Music Awards, James Dandu a.k.a Cool James A.k.a CJ Massive A.k.a Mtoto wa Dandu ambaye pia aliwahi kuwa msanii Bongo Flava kabla ya kufariki dunia Agosti mwaka 2002 kwa ajali ya Gari, James Dandu ni moja kati ya wasanii wa mwanzo kuitangaza Bongo Flava nje ya mipaka ya Tanzania kwa kufanya collabo na wasanii wakubwa Afrika na Ulaya.

Picha hizi zimebandikwa ukutani unamwona #cooljamesdanduinayofatia wamepiga kifamilia na mama yake dandu ambae kwa sasa anaishi nchini #sweden

H Baba ameandika kwenye Account yake ya Instagram kama ifuatavyo
Nipo kwenye kabuli la #cool James #dandu wengi mlizowea kumwita #Dandu nawaasa wasanii wenzangu wa mwanza mnaoshiriki tuzo za #kili music awards mkibahatika kupata tuzo hii yenye heshima kubwa Tanzania ipelekeni kwa Mtoto wa dandu atafurahi sana japo katutangulia Mbele za haki . Nawaombea kwa watanzania wote wawapigie kura wanamuziki wa mwanza kwenye kill ili #tupeleke tuzo kwa ndugu yetu kaka yetu mwanamuziki mwenzetu alieitangaza Tanzania kimuziki kimataifa nakitaifa .. Mungu ibariki mza tufanikishe hili#mpigie kura @fidQ @youngkillermsodoki ili tufikishe ushindi wetu pale kwa familia ya dandu . #kwimba ngudu. Tunakaribisha ata kama msaanii mwingine akijitolea kama msanii #kala alivyofanya mwaka Jana kwa kupeleka tuzo kwa mama ake na #Mangwea r.i.p #dandu r.i.p #sharobalo r.i.p#langa r.i.p #mr.ebbo r.i.p #stive2k r.i.p #complex r.i.p #ladyluu r.i.p N.K ... Sote tupo njia moja tujiandae . ......


familia ya MZEE #Dandu kutoka kushoto kasimama mzee dandu mwenyewe babu yake #cool James #dandu, mimiMama mdogo wa cool james. Mwishoni ni mjukuu wa MZEE dandu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!