Tuesday 22 April 2014

MSANII CHIDI BENZ MBARONI KWA KUMSHAMBULIA KWA KIPIGO MSICHANA.

. HIKI NDICHO CHANZO CHA UGOMVI:CHIDDI BENZ ATUPWA POLISI BAADA YA KUMPIGA HUYU.
AISHA SUED ANAYEDAIWA KUPIGWA NA CHIDI BENZ

Mwanadada Aisha Sued mkazi wa Ilala karibu na kituo cha mabasi cha msaada garage, amedai kushambuliwa vibaya na msanii wa bongo flava maarufu Chidi Benz wakati wa siku kuu ya Pasaka, kutokana na maelezo yake Aisha ameshambuliwa na Rapper huyo wa bongo flava na kuumia vibaya usoni, majeraha ambayo yalipelekea kushonwa nyuzi 18, tukio hilo lilitokea katika Bar moja maeneo ya ilala.
Msanii huyo CHIDI BENZ, kwa sasa anashikiliwa na polisi katika kituo cha pangani Ilala tangu siku ya pasaka kwa madai ya shambulio na kumuumiza vibaya mwanadada huyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!