Monday 21 April 2014

JUST IN....AJALI YA BASI YAUA ZAIDI YA WATU 20















 Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia,kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.

Source: chanel 5

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!