Sunday, 13 April 2014

HAKIMU MBARONI KWA KUMPIGA MTU RISASI

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa
.Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 6 usiku wakati hakimu huyo akielekea nyumbani kwake eneo la Kwamrombo jijini Arusha .
Alisema hakimu huyo baada ya kufika kona ya Mbauda alikuta foleni ndefu iliyosababishwa na ajali iliyohusisha gari lenye namba T 225 AGW aina ya Mitsubishi Honda CRV lililokuwa likiendeshwa na Herman Tesha(31) mkazi wa Moshono aliyeshindwa kulimudu gari na kutumbukia kwenye mtaro

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!