skip to main |
skip to sidebar
TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA!: HII IMETUMWA NA MKEREKETWA!
1.INA TANZANITE AMBAYO HUPATIKANA HAPA TU.
2.NI YA SABA KWA UZALISHAJI WA URANIUM.
3.INA MLIMA AMBAO NI MREFU AFRICA(KILIMANJARO)
4.INA GESI ASILIA KIBAO.
5.INA MAZIWA,MABWAWA,MITO PIA BAHARI.
6.MBUGA ZA WANYAMA.(SERENGETI,RUAHA,MIKUMI NGORONGORO,MANYARA N.K)
7.INA CREATOR AMBAYO NI KIVUTIO KIKUBWA CHA WATALII.
8.INA MISITU.
9.BANDARI.
10.INA MADINI YA KILA AINA,CHA KUSHANGAZA SASA
1.NDEGE MBILI ZINAPISHANA ANGANI INAYOENDA TANZANIA IMEBEBA VYANDARUA INAYOTOKA IMEBEBA MADINI,MENO YA TEMBO NA TWIGA WAZIMA.
2.KUNA MABWAWA NA VYANZO VYA MAJI ILA UMEME WA UHAKIKA BADO KITENDAWILI.
3.IPO KATIKA NCHI 10 BORA ZINAZOPEWA MISAADA DUNIANI IMEZIPITA HATA BAADHI YA NCHI TUNAZOSIKIA ZINA VITA KILA SIKU.
4.SHULE INAPATIKANA MAFINGA ILA INA UHABA WA MADAWATI.
5.TUNAFURAHI NA KUJIONA WAJANJA TUNAPOTUMIA DOLLAR KULIKO HELA YETU BILA KUJUA KUWA TUNAMTAJIRISHA MMAREKANI.
6.WATU WANA UCHUNGU SANA NA NCHI ILA HAWAPATI NAFASI YA KUSIKIKA.
7.UKIFANIKIWA KIDOGO FREEMASON NA WATU WANAANZA KUKUCHUKIA.
8.UKIJIFANYA UNAIPINGA SERIKALI AU UNAJIITA MWANAHARAKATI UNAUWAWA.
9.WAZALISHAJI NI WACHACHE KULIKO WALAJI.
10.WATU WANASOMA ILI KUWA WASOMI ILA SIO WATAALAMU.
No comments:
Post a Comment