Wednesday, 19 March 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN LEO IKULU DAR ES SALAAM



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Mach 19, 2014 Princess Victoria, ambaye ameambatana na Waziri wa Biashara wa Sweden. Bi Ewa Björling, yuko nchini kwa ziara ya siku tatu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!