Sunday, 16 March 2014

MATUKIO KATIKA PICHA, BUS LA YANGA LILIPOPATA AJALI ASUBUHI YA LEO

IMG-20140316-WA0009Taarifa ambazo zimethibitishwa na tovuti ya Yanga kuhusu kunusurika ajali bus walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kurudi Dar baada ya kumalizika kwa mchezo kati yao na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro mechi ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
Wakati wanarudi asubuhi ya leo  Bus la timu yao ambayo lilikuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.


IMG-20140316-WA0007Katika ajali hiyo iliyotokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na kwa sasa timu inaondoka na usafiri wa bus jingine kuelekea jijini Dar es salaam
IMG-20140316-WA0004IMG-20140316-WA0010

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!