Saturday, 1 March 2014
LIST YA MAHARI KWA BAADHI YA MAKABILA NI KAMA IFUATAVYO!!
Hii ni list ya mahari niliyoipata kutoka kabila fulani baada ya rafiki yangu wa karibu kupewa na washenga aliowatuma ukweni.
*. Mkwiji wa Babu 150,000/=
*. Kitenge cha bibi[kiwe wax]
kama huna lipia 50,000/=
*. Kifungua uchumba Tsh 600000/=
*. Mahari ya bibi 100,000/=
*. Mahari ya shangazi 450,000/=
*. Mahari ya wajomba 200,000/=
*. Mahari ya mama 1,500,000/=
*. Pombe ya watani 95,000/=
*. Mahari ya baba Ng'ombe 7 dume na majike 2
*. Kifuta umbali cha mke 200,000/=
Kwangu hili linashika No 1.
Hebu tueleze kabila lako linachukuaje mahari ili tupate top 10 ya makabila yanayochukua mahari kubwa hapa Tanzania
CREDIT BONGO5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment