Mwanadada wema sepetu amzidi kuonesha mapenzi aliyonanyo kwa kijana mkuu wa WCB – Diamond Platnumz baada ya kuamua kufunguka kwa mara nyingine tena juu yake kama inavyosomeka katika maneno hayo hapo chini…
“Da love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa.... I am his nd he is mine... dats jus it.... Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu.... Love him jus like dat.... Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja.... Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all... With all due respect stop talking shit bout my baby.... Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it.... Nd I aint gon.stop... Call me stupid, crazy or whatever but dats jus reality.... Take it or leave it.... Im out...”
Maneno hayo hayakuwa yenyewe bali yaliambatana na picha ya mwanadada huyo aliyoitoa ikimuonesha diamond akiwa kalala na alama ya lips zinzoaminika kuwa za binti huyu staa wa filamu nchini
No comments:
Post a Comment