skip to main |
skip to sidebar
DK KINGWANGWALA ANUSURIKA KUFA KWA RISASI

kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha. Siwezi kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi na niliapa kuwatetea..."
No comments:
Post a Comment