
Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao
Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos.

Wema hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege
Hivi karibuni hit maker huyo wa ‘Number 1’ alisema mbali na kushoot video, kitu kingine anachoenda kukifanya Nigeria ni pamoja na kufanya collabo zaidi na wasanii wa huko kwa lengo la kuliteka soko la Afrika kwa ujumla














No comments:
Post a Comment