Wednesday, 19 February 2014

WATU 100 RAIA WA ETHIOPIA WAMEKAMATWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI....

Jeshi la polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 100 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali katika matukio mawili tofauti yaliyotokea Mlandizi Kibaha na Chalinze bagamoyo mkoani pwani pamoja na watanzania wanne akiwemo dereva wa gari walilokuwa wakisafiria wahamiaji hao haramu akiwemo utingo na watu wengine wawili wanaodaiwa kuwa ni wasindikizaji

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!