Friday 7 February 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI.. AKUTWA AMEJINYONGA UFUKWENI HUKO BUKOBA


Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya saa nane mchana ..
Taarifa za awali kutoka kwa watu waliokuwa katika tukio hilo zinasema kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na alikuwa akifua katika eneo hilo la ufukwe...
Mtu mmoja ambae hakuwa tayari kutaja jina lake ameueleza mtandao huu kuwa leo majira ya saa 12.00asubuhi alisalimiana na marehemu maeneo ya stand ya mabasi akiendelea na shughuli yake ya kutembeza mifuko ya plastiki kwenye mabasi yaendayo mikoani na maeneo mengine akiwa mzima wa afya.
Mwili wa marehemu umepelekwa Hospital ya Mkoa wa Kagera kuifadhiwa kwa ajili ya utambuzi ( ndugu zake )



Askari akiwa amepanda mti ili aweze kukata kamba aliyotumia kujinyonga




Haijafahamika ni kwa nini kachukua maamuzi haya



Mwili wa marehemu ukishushwa


Kamanda wa polisi wilaya ya Bukoba akishuhudia tukio


Wananchi waliokusanyika katika tukio



Mkuu wa kituo cha polisi Bukoba(mwenye koti) akiwa anaangalia baadhi uya vitu vya marehemu alivyokuja navyo kabla ya kujinyonga


Hivi ni vitu vya marehemu alivyokuja navyo babla ya kujinyonga







Maeneo ya spice beach


Mmoja wa watu wa kwanza kutoa taarifa kituo cha polisi Mama Faima



Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari la polisi

Mwili wa marehemu ukipelekwa kuifadhiwa hospital ya mkoa wa kagera.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!