Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma jana, akiwa meza kuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM NduguAbdulrahman Kinana.
(PICHA NA IKULU














No comments:
Post a Comment