

Inauma sana! Mtoto Neema Nyamuhanga mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Mlandizi, Pwani ameuawa kikatili na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutelekezwa porini.
Mwili wa mtoto Neema uliokotwa na wachunga ng’ombe katika pori la Disunyara lililopo kilometa saba kutoka nyumbani kwa akina Neema, Mlandizi Novemba mosi, mwaka jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mwili huo ulikuwa umenyofolewa koromeo, meno yote ya chini na sehemu za siri huku nguo ya ndani ikiwa imewekwa pembeni.Je!hivi ubinadamu tumeuweka wapi na kwanini mtu afanye hivi?Je nini kifanyike kwa watu waonao fanya unyama kama huu?
CREDIT. MUBA KIM













No comments:
Post a Comment