
Ushauri wa Bure....MAKE UP kama hii ni kwa ajili ya sherehe au kitu special, yaani nina maana kwa siku ya kawaida hutatakiwa kupaka rangi za kukoza kama inavyooneka kwa video, badala yake punguza idadi ya rangi zionekane kwa mbaali, na haswa nyakati za mchana paka make up ya kawaida , na utaonekana natural zaidi...













No comments:
Post a Comment