Wednesday, 5 February 2014

MSANII JAGUAR AWADHAMINI WAFUNGWA WAWILI WALIOSHIRIKI KATIKA VIDEO YA "KIOO" ALIYOISHOOT JELA

Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine ambazo walikuwa wanadaiwa na hivyo Serekali kuwaachia Huru..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!