Wednesday, 19 February 2014

MAMBO 10 YANAYOSABABISHA UHARIBIFU WA FIGO MWILINI...







Hukojowi mapema mkojo ukikushika


Hunywi maji ya kutosha 


unakula chumvi sana kwenye chakula.


Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri 


Unakula nyama sana 


Huli chakula cha kutosha 


Unatumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi 


Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho 


Unakunywa pombe kupita kiasi 


Hupumziki vya kutosha.



CREDIT: jfm

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!