Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani kama picha inavyoonyesha, chanzo cha kijana huyo kumuua mama yake mzazi hakikuweza kufahamika....













No comments:
Post a Comment