Monday, 3 February 2014

JOYCE KIRIA AKERWA NA WASANII WALIOJIUNGA NA CCM, NA HII NI KAULI YAKE ALIYOTOA MTANDAONI"

 
JOYCE KIRIA 
Hii ndo habari ya mujini kwa sasa... Imekaaje? Kuna kosa walilofanya kikatiba?

" Ndugu yangu jirani yangu ni muda sasa tumekuwa tukiwaunga mkono wasanii hawa Banana Zoro,JB,MBOTO,Johari,Baba Haji na Irene Uwoya kwa kununua kazi zao, kwa kitendo walichofanya leo kutusaliti sisi wanyonge na kujiunga na maccm,mimi na familia yangu kuanzia leo sintonunua kazi zao na hizi za zamani nimezichoma moto..samabaza kwa watu 10"

Nini ujumbe wako kuhusu huu ujumbe unaosambaa kwa kasi ya moto wa petrol??

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!