Mto huu wa maajabu uko katika Mji ujulikanao kama Enugu uliopo Kusini Mashariki mwa Nchi ya Nigeria yasemekana umekuwa ukiwaponya wagonjwa Mbali mballi kama ilivyokuwa Kile Kikombe cha Babu wa Loliondo Nchini Tanzania.
Imeripotiwa kuwa Watu wengi Kutoka Mataifa Mbalimbali wamefurika katika Mji huo kwenda kupata tiba kutoka katika Mto huo, Mto Huo ulivyokuwa wa Maajabu hauko sawa na Mito mingine kwani Maji yake ni Machafu kupita kiasi na Pia hutoa harufu mbaya sana Lakini Wagonjwa Hilo kwao si Shida kwani wakotayari hata kwa Kupiga Mbizi katika Maji hayo bila kujali uchafu huo wala Harufu mbaya ya Maji hayo.
Hebu Jionee mwenyewe katika
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
CREDIT: JIJI LETU..













No comments:
Post a Comment