Mwakilishi wa Kampuni ya Geotech Airborne Limited MalcolmMoreton akielezea namna kampuni yake ilivyoshirikiana na Serikali ya
Tanzania kuhakikisha mfumo wa Utafiti wa Geofizikia unafanikiwa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological SurveyTanzania(GST) Abdulkarim H. Mruma akifafanua jambo wakati wa warsha ya
uzinduzi Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini Dar es laam.
Baadhi ya wadau wa sekta ya Jeolojia wakifuatilia mada kutokakwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological Survey Tanzania(GST)
Abdulkarim Mruma (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (waliokaakatikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa
Warsha ya uzinduzi wa mfumo wa Utafiti wa Geofizikia Data iliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam.














No comments:
Post a Comment