skip to main |
skip to sidebar
WAZIRI MKUU ATEMBELEA ENEO LA MAAFA MAUAJI YA WAKULIMA KITETO
Eneo la Mtanzania wilayani Kiteto ambalo ni moja kati ya maeneo ya makazi yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji ambapo watu watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Januari 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanakijiji wa Mtanzania Januari 16, 2013 wakati alipokwenda kuwapa pole kufuatia uvamizi waliofanyiwa na watu wanaosadikiwa kuwa wafugaji ambao waliua watu watatu na kuchoma nyumba . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wananchi wa Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wananchi wa Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wazee wa Kiteto wakati alipoteta nao baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kibaya Janauari 16, 2014. Alikwenda Kiteto kuwapa pole wakulima ambao walishambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji ambao waliua na kuchoma moto nyumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment