Thursday, 30 January 2014

SERIKALI YA TANZANIA NA FINLAND ZATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUFANYA KAZI KWENYE SEKTA YA MADINI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland,  Jyrki Katainen wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, wakati Serikali za nchi hizo mbili ziliposaini Mkataba wa Makubaliano ya Kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini.

2Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano ya Kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
3Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen akizungumza na wadau wa sekya  ya Madini wa Serikali ya Tanzania na Finland, wawakilishi wa taasisi za jiolojia na wadau wa sekta hiyo kutoka nchi hizo mbili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
4Mkurugenzi wa Nje wa Wakala wa Jiolojia wa Finland(GTK), Mika Raisanen akizungumza na wadau wa sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano ya kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
5Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma akizungumza na wadau wa Sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland, kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
6Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na wadau wa Sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland, kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
7Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma(aliyekaa kushoto ) na Mkurugenzi wa Wakala wa Jiolojia wa Finland (GTK), Mika Raisanen, wakisaini Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam . Nyuma yao ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland,  Jyrki Katainen wakishuhudia utiaji saini huo.
8Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma(aliyekaa kushoto ) na Mkurugenzi wa Wakala wa Jiolojia wa Finland, Mika Raisanen, wakibadilishana Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
9Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa pili kushoto) akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen ( kushoto kwake) wakiwa katika meza kuu.Wengine ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma( wa kwanza kushoto) na mwisho ni Mkurugenzi wa Nje wa Wakala wa Jiolojia wa Finland, Mika Raisanen.
10Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa habari baada ya Serikali za Tanzania na Finland kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano ya kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

PICHA ZOTE NA HUSSEIN MAKAME, MAELEZO.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!