Saturday, 18 January 2014

SARAHA MSWEDISH ANAYEIHUSUDU TANZANIA, MSIKIE HAPO NA BONGE LA NGOMA....NIMEIPENDAJE HII MSWIDENGA ANAIMBA KISWAHILI KULIKO WASWHILI UUWIII...

From Sweden, here is da’ cute lady miss Sara Larsson alias Sa Raha ambaye Kiswahili kimezidi kumpa heshima popote anapotia maguu even as a guest through Bongo Fleva music anaoufanya kwa Kiswahili despite of asili yake indeed.
2008 aliweza kuisikia Cinderela na kuvutiwa kufanya Bongo Fleva. Till today ana ngoma 5 released za Kiswahili. Also has collabo na artists wa hapa like Akili, Joh Makini, Fid Q, Makamua n.k. Right now amewapa shavu Dully Sykes na Marlaw kwenye ngoma mvili ambazo bado haja-release. All in all she pay much respect kwa muziki huu wa Tanzania.
“Napenda sana kuimba Kiswahili coz of flow yake, na siwezi kufanya Bongo fleva bila kutumia lugha ya Bongo coz East African people na dunia nzima wananielewa vizuri. Pia Kiswahili started to be lugha kubwa sana duniani. Africa is a global force hata kama watu hawaelewi maneno ya Kiswahili wana-appreciate mziki kutoka Tzee. Muziki wa Tanzania ulivyo na style nyingi zenye kuuzika duniani – traditions, taarab, gospel, bolingo na kizazi kipya – it’s a big mix of serious interesting music. Bongo flava is a progressive and interesting style that is still developing and growing but tatizo lililopo now is to manage to create a fair system for the music industry so that the artists can live on their music and that the soko is not controlled by centralized forces and corruption.” – Sa Raha.
For now Sara yupo Sweden akitangaza mziki wake Ulaya kea kufanya showsehemu mbalimbali pamoja na kusambaza ngoma zake. At last she said, “Nilipokuja Tanzania nilikuwa mgeni, lakini mlinipokea kama family na mmenipa nafasi kufanya mziki kwenu. Sasa nimesha kuwa mtanzania na siwezi kuwasahau milele. Tupo pamoja!.” – Sa Raha
CREDIT Baabkubwa magazine..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!