Thursday 23 January 2014

PICHA ZA DARAJA LA DUMILA LILILOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa.

Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao kukwama.
Mafuriko yaliyopelekea daraja hilo kuharibiwa na maji.
Hali ilivyokuwa jirani na eneo hilo.
Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Mvomero, Morogoro usiku wa kuamkia leo imesababisha madhara makubwa ikiwemo kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na Dodoma na kusababisha safari za wananchi kukwama.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!