Wananchi zaidi ya 300 wa kijiji cha Kikundi tarafa ya Mkuyuni mkoani Morogoro hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mwekezaji ili kupisha ujenzi wa majosho ya ng'ombe yenye ukubwa wa ekari zaidi ya 3000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment