Mufti Mkuu wa Tanzania-Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Waumini mbalimbali wa dini ya Kiislamu nchini, wanaungana na wenzao duniani kote leo katika mapumziko ya kuadhimisha Sikukuu ya Maulid ikiwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) miaka 1345 iliyopita.
“Tunawaomba wananchi kutumia mapumziko haya vizuri kwa lengo la kulinda amani na utulivu wa nchi yetu,” alisema Simba. Jijini Dar es Salaam, maadhimisho hayo yalifanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja na mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi
No comments:
Post a Comment