Wednesday 22 January 2014

Mjukuu wa Mandela ashitakiwa kwa kosa kumuonyeshea mtu silaha

 Mjukuu waRais wa zamaniwa Afrika KusiniNelson Mandelaameshitakiwa kwa kosa la kumtishia mtu silaha ya motomwezi uliopita,amesema mwendesha mashtaka Afrika ya kusini.
 
Mandla Mandela ni mshitakiwa wa kutishia silaha baada ya mtu huyo kugonga gari lililokuwa likiendeshwa  na moja ya wageni wa Mandela mwezi Oktoba,.

Mandela alionekana katika mahakama ya hakimu, Mthatha, na kesi yake iliahirishwa hadi Februari 24.
 
NA DJ FETTY BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!