Valencia akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza
Danny Welbeck akishangilia baada ya kufunga bao la pili
KOCHA David Moyes amepumua kidogo
baada ya Manchester United kushinda 2-0 dhidi ya Swansea City usiku huu
Uwanja wa Old Trafford na kuepuka kipigo cha nne mfululizo na cha tatu
Uwanja wa nyumbani.
Ushindi wa United leo katika mchezo
huo wa Ligi Kuu ya England umetokana na mabao ya Antonio Valencia dakika
ya 47 na Dany Welebeck dakika ya 59
United sasa inatimiza pointi 37 baada ya kucheza mechi 21, ingawa inabaki nafasi ya saba kwenye msimamo.
No comments:
Post a Comment