![](http://3.bp.blogspot.com/-6_kFE2XSLoU/Ut-4XI-TImI/AAAAAAACmpA/I1L7vRbunCs/s1600/IMG_3381.jpg)
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) na Mheshimiwa Mama Zakhia Meghji, Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, (kushoto), wakielekea kwenye chumba cha
mkutano.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MN96-vgbqZs/Ut-4ajqeJmI/AAAAAAACmp0/J1yY_3hZxMc/s1600/IMG_3703.jpg)
Dr. Khadija Mwamtemi kutoka
hospitali ya Taifa Muhimbili, alikuwa ni mmojawapo kati ya washiriki
waliochangia mawazo yao mara baada ya mada mbalimbali kutolewa.
![](http://2.bp.blogspot.com/-50T0uLN6rzo/Ut-4YWVwSsI/AAAAAAACmpc/-1DdnhEuT_0/s1600/IMG_3453.jpg)
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi
mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza
maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto
uliofanyika kwenye hoteli ya Serena tarehe 21.01.2014.
![](http://1.bp.blogspot.com/-TdNh3EHfQZo/Ut-4ZU-IyeI/AAAAAAACmps/zVs6BR3oeNM/s1600/IMG_3563.jpg)
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi
mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza
maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto
uliofanyika kwenye hoteli ya Serena tarehe 21.01.2014.
![](http://2.bp.blogspot.com/-jibhweja728/Ut-4Xoq-DDI/AAAAAAACmpQ/NLw8rt73JhQ/s1600/IMG_3387.jpg)
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu
kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa
mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es
Salaam tarehe 21.1.2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-7JHZTVtWKrQ/Ut-4Y37LwRI/AAAAAAACmpo/rqLRxoElZUY/s1600/IMG_3457.jpg)
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu
kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa
mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es
Salaam tarehe 21.1.2014.
![](http://1.bp.blogspot.com/-E04Dto_X1Gk/Ut-4aAVMJmI/AAAAAAACmp4/MTbdGGzqxu4/s1600/IMG_3580.jpg)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi
vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni
rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani). Mkutano huo ulifanyika katika
hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 21.1.2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-nQ1lfLW6jds/Ut-4YBCZwfI/AAAAAAACmpY/jh13HOID_GY/s1600/IMG_3417.jpg)
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu
kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa
mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es
Salaam tarehe 21.1.2014.Picha na John Lukuwi
No comments:
Post a Comment