Thursday 23 January 2014

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI MPANGO MPYA WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO



IMG_3923Washiriki waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa mwongozo mpya wa huduma za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakisikiliza na kushangilia hotuba ya uzinduzi iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere tarehe 22.1.2014.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!