NAIBU WAZIRI MPYA WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO JUMA NGAMIA.
Rais KIKWETE amemteua Juma Nkamia kuwa naibu waziri wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo na kuchukua nafasi ya Amos Makala ambaye amekuwa naibu waziri wa wizara ya maji.
Kabla ya kuwa mbunge wa kondoa kusini Nkamia alikuwa mtangazaji wa shirika la utangazaji TBC lakini pia amefanya kazi Voice of Amerika MAREKANI
No comments:
Post a Comment