MH. DK SHEIN amesema ameongea na rais wa Jamhuri wakaona itapendeza kesho watu wakifanya muendelezo wa sikukuu.
Kesho ni mapumziko kusindikiza sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar, ametangaza Dr Shein ambapo Rais Kikwete ameriadhia kuwa hata Bara itakuwa ni siku ya mapumziko pia kusindikiza Mapinduzi haya. Kisha Jumanne ni siku ya Maulidi.
Kwahiyo kazini hadi Jumatano.
Mapinduzi Daima!
Na mwandishi wetu...
No comments:
Post a Comment