Wednesday 22 January 2014

HATIMAYE SAFARI YA KUMRUDISHA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WA NNE NYUMBANI KWAO IMEANZA, IKIONGOZWA NA TIMU YA MBEYA YETU BLOG.

 Mama wa watoto wa Nne wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wauguzi ambao wamebeba watoto wakimuaga katika Hospitali ya Meta Jijini Mbeya mapema asubuhi ya leo.

 Baadhi ya Mizigo ikiwa inapandishwa katika Gari pamoja na Watoto hao wa nne.

SAFARI YA KUMSAFIRISHA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE INAENDELEA , SASA WAMEFIKA VWAWA MBOZI. MAMA APOKEA MSAADA ZAIDI

Wa kwanza kutoka kushoto ni mmiliki wa mtandao wa Indaba Africa Blog , Dany Tweve akiwa anazungumza jambo baada ya kuchangia msaada kwa ajili ya safari hivyo, hata hivyo Ilasi FM kutoka Mbozi nao wamechangia msaada katika Safari hiyo ambayo inaongozwa na Mbeya yetu Blog. wa kwa
 Mzee Richard Kamanga akiwa Amemshika mtoto huku Safari ikiendelea
 Kutoka kushoto ni Venance Matinya nae akiwa Safarini kumrejesha Mama aliyejifungua watoto wanne

NA MBEYA YETU..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!