Sunday, 22 December 2013

WACHUMBA WANATAFUTWA..MASINGO LADIES MPOOO!!!



Naitwa ABAX natafuta mchumba
SIFA ZAKE
1. asiwe mrefu sana wala mfupi sana (saizi ya kati) 
2. awe Muislamu
kwa sasa nipo Dar - es- salaam
NO. za simu 0762434563 au 0718037019




mambo jamani wapenzi wasafuhii Naitwa MIKAELI J. BUDODI najitokeza kwenye hii njia natafuta msichana kabila lolote kutoka Tanzania umri miaka kuanzia 20 mpaka 27  napatikana Mwanza mjini Umri wangu ni miaka 27 
Namba zangu za simu ni 0765012225

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!