MSANII wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Shilole amepiga hatua kubwa katika ulimwengu wa muziki, baada ya kutambulika kimataifa, Shilole ambaye yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi, ameweza kupata nafasi ya kutinga katika Ofisi za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguxsl7xgQyNBHfQ3wq24UAqdE9WfCanuxkPdsFm5Tt9IFkgo-r_ykN-Ce0keb-l-kQ53VyVIUacR24f1L1VJpKQhare0Mmx4Eb_O0OK2SLkoC_smpDVoJyApCKvDMa8Hkz-AR82O2guLk/s640/5.jpg)
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya Shilole akiwapagawisha mashabiki wake
No comments:
Post a Comment