Sunday, 1 December 2013

NENO LA LEO TOKA KWA ELIZABETH MICHAEL(LULU)

Ni jumapili takatifu ni siku ya neema na ni siku ya kukaa na kutafakari kwa kina juu ya nini Mungu amekutendea na ni kwa namna gani unampa Mungu nafasi katika maisha yako. Jumapili njema wapendwa wangu. Luv u all

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!