MSHINDI WA EBSS 2013, EMMANUEL MSUYA AKIIMBA WIMBO WA KITAMBAA CHEUPE WA KING KIKI
Mshindi wa milioni 50 za EBSS 2013, Emmanuel Msuya akiimba wimbo wa Kitambaa Cheupe ulioimbwa na King Kiki wakati wa fainali hizo zilizofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 Escape 1, Mikocheni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment