
Alikolazwa Mandeala katika shamba lao kijijini Qunu

Ibada maalum ilifanyika katika ukumbi uliotengezwa mahsusi kwa ajili ya shughuli hiyo katika kijij cha Qunu

Kuambatana ja tamaduni za watu wa ukoo wa Mandela, lazima jeneza lifunikwe ngozi ya Ng'ombe

Jeneza la hayati Mandela lisikindikizwa na maafisa wa jeshi, wale wa ANC, familia na jamaa pamoja na viongozi waliofika kumuaga Mandela

wageni wa aina yote walifika wekiwemo wa kitamaduni kutoa heshima zao za mwisho kwa Mandela

Ndege za kijeshi zilipaa angani zikipeperusha bendera ya Afrika Kusini kwa heshima ya Mandela

Mama Winnie Mandela na Rais Jacob Zuma kando yake akiwa mama Graca

Jamaa na marafiki waliofika kumuaga Mandela katika kijiji cha Qunu

Mama Graca Machel na Rais Jacob Zuma kwenye mazishi ya Mandela Qunu

Hotuba zilizotolewa katika hotuba ya Mandela













No comments:
Post a Comment